Leo August 16, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amefanya Kikao na Madiwani wa Wilaya Chunya amewataka Madiwani hao kuweka tofauti za Vyama vyao pembeni ili wawatumikie wananchi pia akatolea ufafanuzi tamko alilotoa la kutaka Kijiji cha Ngole wananchi wote wakamatwe kwa kuharibu Miundombinu ya Maji.
Kamanda Mbeya atii agizo la RC Chalamila, atuma Polisi wa kutosha kukamata Kijiji chote