Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema kuwa ni kinyume cha taratibu kwa baadhi ya wateule wa wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwaweka mahabusu watumishi wa umma kwa pindi wanapoonekana kufanya makosa ya kiutendaji na katika kusisitiza hilo amepiga marufuku kwa Wakuu wake wa wilaya kutofanya hivyo.
“Sisi viongozi tuwalinde watumishi wetu, mimi nilipoenda kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu niliwaambia Wakuu wangu wa wilaya kuwa moja ya jambo sitaki kusikia ni mtumishi wa Umma kuwekwa mahabusu, wakati mwingine ukiona matamko ya wanasiasa kwenye maeneo ya kazi unajiuliza hivi RMO anakaa kwenye kikao kushauri haya yatokee? Kwenye mkoa wangu hutaona huu upuuzi” –Anthony Mtaka
https://www.youtube.com/watch?v=-xUDPMew4z8&feature=youtu.be
Naibu Waziri Mavunde kusafirisha maiti bure Dodoma