Leo August 17,2018 millardayo.com inakusogezea miongoni mwa matukio makubwa mawili ambayo yalitokea siku kama ya leo August 17 2015 na huenda ikawa ni historia katika maisha ya Watanzania wengi.
Tukio la kwanza la kukumbukwa ni kuhusiana na kampuni ya UDART ambayo ilizindua rasmi mabasi ya endayo haraka maarufu kama mwendokasi, amabayo yalianza kufanya safari zake kutokea Kimara mpaka Kigamboni kwa mara ya kwanza August 15 2018.
Tukio la pili la kukumbukwa August 17 ni kuhusiana na mashindano ya Miss Tanzania kufunguliwa rasmi hii ni kutokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusiana na ushindi wa Siti Mtemvu na baadae BASATA kuyafungia.
RC Makonda alivoshuhudia mfumo wa anwani za makazi na Postcode kutoka TCRA