Leo August 21, 2018 Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikisha huduma ya upandikizaji figo katika hospitali hiyo kwa Wagonjwa 19 na wanaendelea vizuri na waliowatolea pia nao wanaendelea vizuri.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Dr. Egriga Swai ambaye ni Mkurugenzi wa Tiba hospitali ya Muhimbili amesema zoezi hilo lilianza kwa kushirikiana na zilizopo nchini.