Leo August 21, 2018 Kutana na Mama wa kichaga kutoka Marangu Kilimanjaro ambae Mume wake alifariki na baadae maisha yakawa magumu kwake, ikampelekea kuanza kuuza mboga za majani na kujikusanyia kidogokidogo hadi kutumia Milioni zaidi ya 18 kumsomesha mtoto wake….Bonyeza PLAY hapa chini kutazama stori yote.
“Nimeamua kurudi Kijijini Kigoma, Dar pamenishinda” – JOSHUA