Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshugulikia Kazi, Ajira na Vijana ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde ametoa msaada wa miguu bandia kwa mtoto Christopher Eliasi ambaye alikatwa miguu yote miwili katika Hospitali ya Benjamini Mkapa baada ya kufika hospitalini hapo na miguu hiyo ikiwa na maradhi ambayo hayajabainishwa kwa sababu za kiutaalam.
Kubwa zaidi Mavunde ameahidi kumuhudumia mtoto huyo mahitaji yote ya kifamilia ikiwemo kumpatia elimu.
Matokeo ya mgonjwa aliyepandikizwa FIGO kwa mara ya pili Dodoma