Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibeta ambayo ipo kwenye Manispaa ya Bukoba kwenye Mkoa wa Kagera waligoma kuingia madarasani kwa muda wakidai haki baada ya Mwanafunzi mwenzao kupigwa na Mwalimu na kusababisha kifo chake kwa tuhuma za wizi wa pochi ya Mwalimu huyo.
Kamanda wa Polisi Kagera Augustine Ollom alifika kwenye Shule hiyo na kuzungumza na Wanafunzi hao kuwatuliza huku Jeshi hilo likiahidi kuchukua hatua zinazofata, tazama hii video hapa chini kuona tukio zima.
VIDEO: MWALIMU WA NIDHAMU ALICHAPA MWANAFUNZI HADI AKAFARIKI AKIHISI KAIBA POCHI YAKE BUKOBA, TAZAMA ZAIDI KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI