Nakusogezea taarifa kutoka Muleba mkoani Kagera ambapo katika Hospitali Teule ya Rubya mkoani humo amezaliwa Mtoto mwenye jinsia mbili yaani ya Kike na ya Kiume.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. George Kasibante amesema Mtoto huyo aliezaliwa kwa njia ya kawaida anaendelea vizuri ingawa itabidi afanyiwe upasuaji.
Upasuaji huo wa kurekebisha maumbile hayo unatarajiwa kufanyika katika Hospitali kubwa ambayo bado haijatajwa.
Mkurugenzi wa Fedha Bugando ajirusha toka ghorofani afariki dunia