Leo August 30, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango amekaa kwenye Interview na AyoT V na millardayo.com kuzungumzia Kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu.
DC Rukia amesema Uzinduzi wa Kampeni hiyo kwa Wilaya ya Nachingwea utakuwa September 1, 2018 na kilele ni September 8 ambapo kauli mbiu ni Afya yangu, maendeleo yetu.