Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba amefika katika Mto wa Maasai Mara, ambapo Mhifadhi Mkuu ametaja shughuri zinazofanywa na upande wa Kenya zitakavyosababisha athari katika upande wa Tanzania.
Baada ya kusikiliza shughuli hizo Waziri Makamba ametoa majibu ya wataalamu waliotumwa nchini Kenya.