September 5, 2018 mkutano wa kumi na mbili wa Bunge umeendelea ambapo katika kipindi cha maswali na majibu miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuuliza ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Halima Bulembo aliyehoji kuhusu mpango wa Serikali kutekeleza miradi ya maji. Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso akasimama kutolea majibu.
“Hakutakuwa na mabadiliko, Msizungumze kama hamna tafiti” –Waziri Mavunde