Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe wakati akichangia mapendekezo ya Muswada wa sheria ya bodi ya kitaaluma ya Walimu Tanzania, 2018 (The Tanzania Teachers’ professional board bill 2018) uliowasilishwa Bungeni leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia prof Joyce Ndalichako ambapo ameitaka Serikali kuzingatia hali ya kipato cha Walimu licha ya kufanya kazi katika mazingira magumu.
SERIKALI yaingilia kati BAJAJI ya Mtanzania iliyokosa kibali ‘tunaomba samahani’