Amina Juma ni mmoja wa wanufaika wa majiko banifu, pia ameweka wazi kuwa jiko banifu limemsaidia kurudisha “heshima ya ndoa yake’. Serikali katika kudhibiti matumizi holela ya ukataji wa miti kiholela imeanzisha mpango wa kutoa elimu na uwezeshaji wa kutengeneza majiko banifu.