Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya ameitaka Serikali inapaswa kuangalia upya changamoto zinazowakabili Walimu ikiwemo malipo na kupandishwa madaraja na sio kuhangaikia kuwaundia sheria kandamizi za mara kwa mara wakati wakiwaacha wakitaabika. Sakaya amezungumza hayo wakati akichangia mapendekezo yaMuswada wa sheria ya bodi ya kitaaluma ya Walimu Tanzania, 2018 (The Tanzania Teachers’ Professional board bill 2018)
Video Rais Magufuli alivyowazinduliwa JWTZ mradi wa ufugaji samaki