Leo September 6, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kumkamata Mtendaji kwa kushindwa kueleza fedha anazozikusanya amezitumia kwa shughuli gani.
BREAKING: Mbunge wa CHADEMA “Rais Magufuli niko radhi niache Ubunge unipe Barabara”