Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amewataka Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika, KCU 1990 LTD na KDCU LTD kufanya kazi chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi na TAKUKURU kutokana na matumizi mabaya ya fedha zaidi ya Milioni 400 zilitolewa na Benki ya Kilimo kwa ajili ya Malipo ya wakulima.
RC Gaguti amesema kuwa watafanya kazi hiyo chini ya uangalizi kwa masaa 24 huku akiwataka kumpa mpango wa jinsi gani watalipa fedha hizo ndani ya siku saba kabla hatua kali za Kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.
Mbunge wa CHADEMA “Rais Magufuli Nipo tayari kuacha Ubunge, Sisi WanaCHADEMA ni wako”