Serikali kupitia kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira na Vijana Athony Mavunde leo September 11, 2018 imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za kushindwa kutoa nyongeza kwa watumishi wake wa umma.
“Mlisema Kikwete hafai /mnalipaka Bunge matope” –Spika Ndugai