Moja ya stori iliyoshika headlines katika Mitandao ya Kijamii na Magazeti mbalimbali nchini ni iliyohusu mali za Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma kutakiwa kupigwa mnada kwa kile ilichodaiwa anadaiwa na moja ya Benki nchini.
AyoTV na millardayo.com imempata Mbunge Musukuma ambapo ametolea ufafanuzi kuhusu taarifa za mali zake kupigwa mnada September 22, 2018.
Mwanzilishi Tukuyu Stars anaumwa jamani ‘Nimezeeka sidhani kama nitapona’