September 12, 2018 Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika muswada wa muswada wa marekenisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, sura 103 (The public private partnership amendment act 2018) na miongoni mwa waliosimama ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Hawa Mchafu aliyeishauri Serikali kuwa makini katika mikataba inayoingia na wawekezaji.
Agizo la JPM lamfanya Mkurugenzi Arusha kuingia sokoni kukusanya kodi