Kwa mara nyingine tena hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani Dodoma imeweza kuwaruhusu wagonjwa wengine watatu waliopandikizwa figo kutoka katika hospitali hiyo mara baada ya hali zao kuimarika huku wakitakiwa kuzingatia kanuni za tiba walizopatiwa, ikumbukwe kuwa hadi sasa jumla ya wagonjwa wanne wameshapandikizwa figo tangu kuanzishwa kwa hospitali hiyo.
Rais Magufuli “Kafanye kazi msibishane TAKUKURU na DPP, wapelekeni wala rushwa direct’