Kampeni katika Jimbo la Monduli zinaelekea ukingoni na leo September 15, 2018 aliekuwa Mbunge wa jimbo hilo Kalanga Laizer amechukua nafasi kueleza yale yaliyofanyika katika Jimbo hilo na Serikali tangu arudi CCM.
Moja ya jambo alilolieleza Kalanga ni kuwepo kwa umeme katika baadhi ya Vijiji na maeneo mengine juanza kusimikwa nguzo.