Leo Septmber 20, 2018 Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB imetengaza kumteua Abdulmajid Musa Nsekela kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya atakayemrithi Dr. Charles Kimei ambaye atastaafu May, 2019
Nsekela alijiunga tena na Benki ya CRDB akitokea Benki ya NMB alikokuwa tangu mwaka 2008.
Alianza kufanya kazi katika benki hiyo ya CRDB mnamo mwaka 1997 kabla ya kujiunga na NMB mwaka 2008.