Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameshuhudia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akikabidhi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isaack Kamwelwe mchango wa Milioni 10 zilizotolewa na CCM kwa ajili ya kusaidia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama ktika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe, Septemba 20, 2018.
Makabidhiano hayo yalifanyika katika kijiji cha Bwisya kisiwani Ukara le September 24, 2018.
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi SUMATRA