Waziri wa Elimu, Sanyansi, Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema kama kuna mtu atasema kuwa Serikali haitoi fedha za elimu kwa takwimu zisizo sahihi hatosita kumshukia kama mwewe. Waziri Ndalichako amesema hayo akiwa mkoani Dodoma wakati akifungua mkutano wa mwaka wa tathimini ya sekta ya wizara hiyo.
Agizo la Kamanda Muroto kwa wamiliki wote wa silaha Dodoma