Siku ya September 27, 2018 Bank ya CRDB imezindua kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma yake ya ki-bank kupitia simu ya mkononi ijulikanayo kama ‘Sim Account’ ambayo itawasaidia wateja wake kupata huduma za kifedha kutoka bank kiurahisi ikiwa ni pamoja na kuwapa fursa watumiaji wa Bank ya CRDB kujishindia zawadi za fedha.
Tazama hapa chini video ikionesha uzinduzi wa Huduma hiyo ikiwa pamoja na Droo fupi iliyofanywa na kisha kupatikana mshindi wa million mbili.
BREAKING: RC Makonda amlilia JPM “Tunaona wivu na tuna kero nyingi”