Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia zaidi ya watu 10 wakazi wa Kata ya Kitanga wilayani Kasulu wakituhumiwa kuhusika katika mauaji ya watu 8 ambao wamefariki kwa nyakati tofauti katika kipindi cha mwezi mmoja kufutia mgogoro wa wakulima na wafugaji katika eneo lililokua linakaliwa na wafugaji kinyume na sheria.
RC Makonda na Wema alivyomtambulisha Van Vicker