Ikiwa leo Septamber 29, 2018 ni siku ya maadhimisho ya moyo duniani ambapo kwa Dodoma maadhimisho yamefanyika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dk Alphonce Chandika ametoa takwimu za wagonjwa wanaofariki kwa ugonjwa huo ikiwemo idadi ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo.
Dereva wa gari iliyokuwa ndani ya Mv. Nyerere yupo hai