Kutoka kwa Daktari wa moyo ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili, Prof Mohammed Janabi anatuambia watumiaji wa magari kwa muda mrefu wana hatari kubwa zaidi ya kupata magonjwa ya moyo ambayo yanaweza kusababisha vifo
Prof. Janabi amesema kwa wakazi wa DSM ambao wanatumia mda mwingi zaidi kwenye foleni hasa kipindi cha asubuhi kwa zaidi ya saa moja mpaka mbili na jioni hivyohivyo chakula anachokula mtu huyo akifanyi kazi yoyote na matokeo yake mtu anapa unene,
Kwa watu wangu ambao pia ambao hupendelea chakula cha kwenye maharusi Prof. Janabi anasema chakula hicho si kizuri kwa afya kwasababu kinasababisha magonjwa ya moyo.