Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema kipindi cha nyuma madereva wa magari walikuwa wakinuka kama takataka kutokana na kutokuwa wasafi pamoja nakurekebisha magari wanayoyatumia ambapo hivi sasa yameanza kukarabatiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhan Ng’anzi amesema awali magari ya taka yalikuwa yameharibika vibaya ila kwa sasa yameanza kurekebishwa huku onyo likitolewa kwa watakaokaidi suala hilo.