TAKUKURU Mkoa wa Dodoma jana usiku iliweka mtego na kufanikiwa kumkamata Jacob Paul Nyangusi ambaye ni Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kosa la kumtaka mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kingono ili amsaidie katika mitihani ya marudio aliyofanya hivi karibuni. Ayo TV na millardayo.com imefanya exclusive interview na Kamanda wa TAKUKURU mkoani humo Sosthenes Kibwengo ambaye ameeleza tukio zima liliivyokuwa
“Magufuli ni chuma, BASATA walitakiwa watushirikishe”–Quick Rocka