Waziri wa ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jafo ametoa maagizo halmashauri zote nchini zilizoshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji kodi kwa mwaka wa fedha 2018/19 kutoa maelezo pamoja na Wakuu wa mikoa husika watatakiwa kufuatilia na kubaini watu wote waliohusika katika ufujaji wa mapato hayo.
“Halmashauri zote zipatazo 14 ambazo zilikusanya mapato chini ya asilimia 50 ya malengo kwa mwaka wa fedha 2017/18 nazielekeza kutoa maelezo ni kwanini hazijafikia malengo, Nawaelekeza Wakuu wa mikoa kufuatilia ufujaji wa mapato katika mikoa yao kubaini waliohusika kufanya uzembe wowote uliojitokeza katika ukusanyaji wa mapato”-Waziri Jafo
Mhadhiri wa UDOM alivyonaswa LIVE kitandani akitaka rushwa ya ngono