Leo October 8, 2018 Basi la Arusha Express lililokuwa likielekea Dodoma kutoka Arusha, limepinduka maeneo ya Haraa wilayani Babati, mkoani Manyara, ambapo watu wanne wamefariki dunia katika ajali hiyo huku wengine wakijeruhiwa
Kamanda wa polisi Mkoani Manyara Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo pamoja na vifo.
DIWANI CHADEMA: Kakaa Jela Miezi 10 kafunguka ”Nilionewa”, Bonyeza play hapa chini kutazama