Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Ephraim Kwesigabo ametoa takwimu ya mfumuko wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi September 2018 Mbele ya waandishi wa habari Dodoma ambapo mfumuko umeongezeka kutoka asilimia 3.3 hadi asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia August 2018 huku akitaja sababu zilizochangia ikiwa ni pamoja na ongezeko la bei za bidhaa na huduma nyinginezo.
GOOD NEWS: Tatizo la umeme Tanzania kwisha habari yake