Leo October 17, 2018 Serikali mkoani Kagera imechukua maamuzi ya kuifunga kwa muda Shule kongwe ya Sekondari BUKOBA iliyopo mkoani Kagera kufuatia kuathiriwa na mvua yenye upepo mkali iliyonyesha leo asubuhi, huku wanafunzi wakihamishiwa shule nyingine.
Naibu Waziri Mwanjelwa “Serikali ya JPM imeongeza uzalishaji wa chakula kwa 100%”