Watu wasiojulikana wanadaiwa kuingia katika kata ya Murieti Arusha eneo la Boncity na kuwabaka kuku watano wa kienyeji, Elizabeth Swai ni mmoja wa watu ambao kuku wao wamebakwa ambapo tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina.
Balozi wa eneo hilo Abruhan Mbaga amedai hadi sasa kuku watano wameshafanyiwa vitendo hivyo katika eneo hilo nakusema wanafanya kwa kuku weupe na wakienyeji pekee.
Naibu Waziri Mwanjelwa “Serikali ya JPM imeongeza uzalishaji wa chakula kwa 100%”