Leo October 17, 2018 Mama mmoja mkazi wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera amejifungua vitu vya ajabu kwa siku nne mfululizo hali ambayo imewashangaza watu wa eneo hilo.
Mumewe Josias Philmon amezungumza na kutaja vitu ambavyo Mkewe amekutwa navyo tumboni kuwa Mmsumari, sarafu ya zamani, mkaa, karatasi yenye ujumbe unaoashiria imani za kishirikina. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji amethibitisha kushuhudia tukio hilo.
Naibu Waziri Mwanjelwa “Serikali ya JPM imeongeza uzalishaji wa chakula kwa 100%”