Bank ya CRDB imezidi kuendelea kuboresha huduma zake na kurudisha fadhila kwa wateja wake, kwani safari hii kupitia promotion yao ya Sim Account imeendeleza na utaratibu wa kugawa zawadi ya pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya Sim Account.
Wakati watanzania wakiendelea kujisajili na sim account ya CRDB na kufanya miamala mbalimbali sambamba na ushindi wa pesa kila wiki, leo kupitia Balozi wao Shilole ameweka wazi njiani ya kutunza hela kwa vikundi vya kinamama, Shilole amewashauri wakina mama ambao iliwahi kutokea kijumbe akala hela za wenzake.
CRDB kwa sasa inaendesha promotion ya Sim Account na kwa kujisali tu kwa kubonyeza *150*62# na kufuata maelezo, basi namba yako moja kwa moja inaingia katika shindano la kushinda pesa kuanzia laki moja, milioni moja na milioni mbili kila wiki katika kutoa washindi 12.
Mtanzania kajichukulia Tsh Milioni mbili kiulaini tu! wiki ijayo tena