Profesa J amerudi tena time hii na ngoma mpya inaitwa ‘yatapita’ ambayo kamshirikisha Harmonize, ni video iliyofanyika Tanzania na ikionyesha na kugusa maisha ambayo Watanzania wengi wanayapitia kila siku, bonyeza play hapa chini kuitazama
.