AyoTV leo October 22, 2018 tunaye Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo akitupa ufafanuzi wa taarifa inayozunguka mitandaoni kuhusu madereva wa zaman na wapya ambao walikuwa wanapata usumbufu wa kupata leseni zao mpya.
Good news ni kuwa hali hiyo inafika kikomo baada ya TRA kumpata mkandarasi mpya ambaye atazalisha leseni hizo.