Taarifa kutoka Mkoani Kagera leo October 23, 2018 Watoto wawili wa Familia moja ambao wanaishi Kata Kyamlaile iliyopo wilaya ya Bukoba mkoani Kagera wamekutwa wameuawa kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana na kutelekezwa.
Diwani wa Kata hiyo pamoja na Baba mzazi wamesimulia tukio lilivyotokea mpaka wanawakuta wameuawa.