Leo Oktoba 23, 2018 Serikali ya China imezindua daraja refu zaidi duniani linalokatiza baharini na kuunganisha Miji ya Hong Kong na Macau, urefu wa daraja hilo ni sawa na umbali wa kutoka DSM mpaka Mlandizi na limegharimu zaidi ya Tsh. Trilioni 45 kujengwa.
Nimekusogezea PICHA 12 za muonekano wa Daraja hilo shuka chini kutazama.