Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amewata wafanyabiashara na wenyeviwanda nchini ambao wamehusika na kuingiza bidhaa za magendo ikiwemo sukari na kufungasha katika vifungashio vya ndani kujisalimisha katika Wizara yake na tume ya ushindani kwa ajili ya hatua zaidi la sivyo vitafungiwa.
“Watu wote mlioingia katika mtego huo mjisalimishe haraka, kinyume cha hapo mimi nitachukua leseni na tumefikia hatua hiyo kwasababu mmeanza nyie kwahiyo kama mmemwaga ugali mimi namwaga mboga” –Waziri Mwijage
DENI la RC Makonda kwa Aliyewahi kuwa Diwani wa Manispaa ya Kinondoni