Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amefanya ziara ya kikazi katika Tarafa ya Uvinza mkoani Kigoma kwa lengo la kuzungumza na wananchi wa eneo hilo kufuatia tukio la kushambuliwa na kuuawa askari wawili na mmoja kujeruhiwa wakati wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Ufugaji Ranchi ya Taifa NARCO na kuendesha shughuli za kilimo kinyume cha sheria.
IGP Sirro atinga Kigoma mauaji ya Askari wawili “watatangulia mbele ya haki”