Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola leo ameshtukiza Kituo cha Polisi Kati Dodoma ambapo moja ya mambo aliyosema ni pamoja na kuwaambia Polisi “kumekua na malalamiko kwenye vituo kwamba mali za mahabusu zinapotea…… fedha na simu alafu mnaanza kubishana”
Bonyeza play hapa chini kutazama video wakati ukisubiri video nzima na taarifa kamili baadae kidogo kwenye YouTUBE ya ‘millardayo”
.
.