Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ole Nasha ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro amekerwa na kitendo cha mamlaka ya Ngorongoro kudaiwa kuzuia kutoa kibali kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya.