Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia General Mstaafu Emmanuel Maganga amewataka Wakuu wa Wilaya mkoani humo, kuhakikisha wanasimamia zoezi la utoaji wa elimu ya lishe ili kuondokana na tatizo la udumavu kwa watoto kwa kukosa lishe bora nakuhimizakula chakula bora.
Maganga amebainisha hayo katika kikao cha kusimamia utekelezaji wa lishe ambapo amebainisha kuwa Wakuu wa Wilaya wanayo nafasi kubwa katika kuelimisha wananchi wao na kutumia lishe bora na hivyo watoto kukua wakiwa na afya nzuri.
LIVE MAGAZETI: Barua za madudu TRA zavuja, SAKATA LA TRIL. 1.5: BOT, CAG kikaangoni