Ni wananchi wa Kijiji cha Kigogwe kilichopo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma walioamua kuchanga fedha wameweza kujenga Daraja la kuvukia katika Mto Rwiche baada ya kupata Adha kubwa kipindi cha mvua na madaraja kusombwa na maji.
Ujenzi huo umegharim takrbani shilingi Milioni 70 huku mafundi wakiwalipa shilingi laki 5 na ujenzi kukamilika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kijiji.
November 1, 2018 ilikua uzinduzi wa daraja hilo huku furaha kubwa wakionyesha wananchi kukamilisha daraja hilo na kumualika Mbunge kua mgeni rasim kulifungua.
Hatari ya Ushoga: Kutokwa na Kinyesi, UKIMWI, kushindwa kujifungua, UTI isyoisha