ULGSP ni mardi uliobuniwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa ajili ya uboreshaji wa Miundombinu kwenye Halmashauri 18 Tanzania zilizopitiwa na Mradi huu, Hapa ni Geita wametuonyesha walivyodhamiria kuubadili Mji wao.
LIVE: Rais Magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 150 Uinjilishaji