Nakukutanisha na dakika tisa za Mbunge mpya wa Korogwe kupitia tiketi ya CCM Timoth Mnzava ambaye kwa mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake alipata nafasi ya kusimama Bungeni na kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa bajeti wa mwaka 2019/20, Kubwa zaidi ni pale Naibu Spika Dr. Tulia Ackson alipoamua kutoa ya moyoni kuhusu uwezo aliouonesha mbunge huyo katika kuchangia.
“Haya yote ni matokeo ya Serikali ya Magufuli”-Mbunge Mhagama