Hii ni kauli ambayo Rais Magufuli ameitoa mbele ya Wanajeshi Temeke Dar es salaam alipokwenda na kukagua magari ya Jeshi Kikosi cha Usafirishaji cha 95 KJ yanayoweza kutumika kubeba korosho Mikoa ya Lindi na Mtwara endapo Wafanyabiashara hawatozinunua, bonyeza play hapa chini kumtazama JPM mwanzo mwisho
.
.